Monday, December 9, 2013

GEITA KIFO MKONONI TU!!!! HEBU CHECK HII

Mambo ya Geita haya!!! Hii katuma rafiki yangu Ernest Chawewe kani kashuhudia menyewa na kusema," Jamaa kafa sababu ya elfu 3...
Mazingira mengine kuishi ni tabu tupu,haipiti wiki moja bila tukio la kutisha,inamaana Mungu sehemu kama hizi umezisahau!?jamaa alikuwa anadaiwa sh 3000 katika hali ya kusema hana hela avumiliwe kidogo alishtukia panga likikata kwa nguvu shingon,ghafla lingine likakata kifuani..huyu jamaa alikufa nikiwa nashuhudia,inatisha,inahuzunisha,MUNGU IKUMBUKE LWAMGASA GEITA, Amen.

No comments: