Wednesday, October 16, 2013

KWA STAILI HII YA MITEGO KWA DADAZ WENYE UCHU WATAPONA!!???

      ILA KWA HAYA UKIMWI UTAWAACHA WAPENDA NGONO??  Jijibu mwenyewe..  


  Tujiulize na majibu tujipe wenyewe kama mwanajamii ujaliye ustaarabu,mheshimu utamaduni wa nchi yetu hii kwani tunakoelekea hatujui ila ishara hizi zatosha waziwazi kuwa dada zetu (baadhi) utu umewatoka na wamebaki kwenye maslahi tu na mwili wake ufannywe vyovyote ila umbakishie uhai wake tu!!

No comments: