Tuesday, October 15, 2013

WANAWAKE WANAWEZA HEBU MUONE (Nusura Maguluko) DEREVA WA MAGARI MAKUBWA YA MKOA


DEREVA NUSURA MAGULUKO 28 AKIMWOMBA MUNGU KABLA YA KUANZA SAFARI

SASA HAPA YUPO KAZINI

BAADHI YA ABIRIA WAKIFURAHIA MWENDO MZURI WA DEREVA NUSURA MGULUKO


ABIRIA WAKIPATIWA HUDUMA YA VITAFUNWA NDANI YA BASI HILO LA NDENJELA


WAFANYAKAZI WA BASI LA NDENJELA KABLA YA KUANZA SAFARI


MABASI YA NDENJELA NIYAKISASA YANAFANYA SAFARI ZAKE MBEYA  DS

No comments: